Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiwasili Mjini Zanzibar kwa kutumia Boti wakati alipofanya ziara ya kutembelea Baraza la Wawakilishi. |
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai kiwasalimia
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar alipotambulishwa wakati wa kikao cha
Baraza hilo. |
Spika wa Baraza la Wawakilishi Mhe
Zuberi Ali Maulid akimuelezea jambo Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai wakati wa
ziara hiyo. |
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai katika picha ya pamoja na Watumishi Wabunge wanaofanya kazi katika Ofisi ya Bunge-Kurugenzi ya Zanzibar. |
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akizungumza na Watumishi Wabunge wanaofanya kazi katika Ofisi ya Bunge-Kurugenzi ya Zanzibar. |