WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, July 27, 2018

WAJUMBE WA KIKAO CHA MENEJIMENTI YA OFISI YA BUNGE WAKUTANA DODOMA


Wajumbe wa Kikao cha Menejimenti ya Ofisi ya Bunge wakiwa katika kikao leo Mjini Dodoma , kikao hicho kiliongozwa na Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai
Wajumbe wakiendelea na Kikao
Wajumbe wa Kikao cha Menejimenti ya Ofisi ya Bunge wakiwa katika kikao leo Mjini Dodoma , kikao hicho kiliongozwa na Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai
Wajumbe wa Kikao cha Menejimenti ya Ofisi ya Bunge wakiwa katika kikao leo Mjini Dodoma , kikao hicho kiliongozwa na Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai

Saturday, July 7, 2018

MAAFISA WA BUNGE WATOA ELIMU KUHUSU BUNGE KATIKA MAONYESHO YA SABASABA JIJINI DAR ES SALAAM




Afisa Elimu wa Ofisi ya Bunge Mwl. Omary Machunda akitoa Elimu kwa Wageni mbalimbali waliotembelea banda la Bunge la Tanzania katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es salaam


Afisa Habari wa Ofisi ya Bunge Ndg. Zanele Chiza akitoa Elimu kwa Wageni mbalimbali waliotembelea banda la Bunge la Tanzania katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es salaam

 Afisa Habari wa Ofisi ya Bunge Ndg. Deonisius Simba akitoa Elimu kwa Wageni mbalimbali waliotembelea banda la Bunge la Tanzania katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es salaam

Naibu Mpambe wa Bunge (DSA) Ndg Peter Magati akitoa Elimu kwa Wageni mbalimbali waliotembelea banda la Bunge la Tanzania katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es salaam


Afisa Utumishi wa Ofisi ya Bunge Ndg. Twaha Said pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Kamati za Bunge Ndg. Athuman Hussein wakitoa Elimu kwa Wageni mbalimbali waliotembelea banda la Bunge la Tanzania katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es salaam



Mshauri wa mambo ya Sheria kutoka Ofisi ya Bunge Ndg. Mariam Mbaruku pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Habari Ofisi ya Bunge Ndg. Zuhura Mtatifikolo wakitoa Elimu kwa Wageni mbalimbali waliotembelea banda la Bunge la Tanzania katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es salaam 
Afisa Tehama Mwandamizi wa Ofisi ya Bunge Ndg. Aziz Mussa akitoa Elimu kwa Wageni mbalimbali waliotembelea banda la Bunge la Tanzania katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es salaam

Sehemu ya Wageni mbalimbali waliotembelea banda la Bunge la Tanzania ili kujifunza kuhusu Bunge katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es salaam