WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Tuesday, May 30, 2017

MHE SPIKA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MCHUNGAJI LUSEKELO "MZEE WA UPAKO"

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Mchungaji Anthony Lusekelo (kulia) alipomtembelea leo katika ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akizungumza na ugeni kutoka Kanisa la Maombezi (GRC) ulioongozwa na Mchungaji Anthony Lusekelo (kulia) katika kikao kilichofanyika Ofisini kwake Mjini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na ugeni kutoka Kanisa la Maombezi (GRC) ulioongozwa na Mchungaji Anthony Lusekelo (kulia) katika kikao kilichofanyika Ofisini kwake Mjini Dodoma.

Thursday, May 25, 2017

SPIKA WA BUNGE MHE NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA RAIS WA KENYA

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai akisalimiana na Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta wakati wa ibada Maalum ya kuliombea Taifa la Kenya iliyoandaliwa na Bunge la nchi hiyo. Wengine katika  pichani kutoka kushoto ni Spika wa Bunge la Kenya  Justin Muturi, Spika wa Bunge la Seneti la Kenya Mhe  Ekwee Ethuro na Jaji Mkuu wa Kenya Jaji David Maraga. Mhe Ndugai yuko katika ziara ya kibunge nchini Kenya kwa mwaliko Bunge la Kenya ambapo amembatana na wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Bunge, Mhe Mary Chatanda, Mhe Salim Turky na Mhe Mch.Peter Msigwa.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai (katikati ya waliokaa kulia) akizungumza na Rais wa Kenya Mhe Uhuru Kenyatta na Makamu wake Mhe William Rutto walipokutana wakati wa ibada Maalum ya kuliombea Taifa hilo. Wengine katika picha ni Spika wa Bunge la Kenya  Mhe Justin Muturi (kulia kwa Mhe Ndugai),Spika wa Bunge la Seneti la Kenya   Mhe. Ekwee Ethuro  (wa kwanza kulia),Mke wa Rais wa Kenya Margaret Kenyatta na Mke wa Makamu wa Rais wa Kenya Rachel Chebet.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (wa pili kulia) Mhe Job Ndugai akizungumza na Spika wa Bunge la Seneti la Kenya Mhe Ekwee Ethuro  (wa pili kushoto). Mhe Ndugai yuko katika ziara ya kibunge nchini Kenya kwa mwaliko Bunge la Kenya ambapo amembatana na wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Bunge, Mhe Mary Chatanda, Mhe Salim Turky na Mhe Mch.Peter Msigwa.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai akizungumza na Spika wa Bunge la Seneti la Kenya Mhe Ekwee Ethuro  alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Nairobi, Kenya. Mhe Ndugai yuko katika ziara ya kibunge nchini Kenya kwa mwaliko Bunge la nchi hiyo.

Wednesday, May 24, 2017

MHE SPIKA ATEMBELEA BUNGE LA KENYA

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai  (wa pili kushoto) akisikiliza maelezo kuhusu Bunge la Kenya linavyofanya kazi kutoka kwa Spika wa Bunge hilo Mhe Justin Muturi.Mhe Ndugai yuko katika ziara ya kibunge nchini Kenya kwa mwaliko Bunge la Kenya ambapo amembatana na wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Bunge, Mhe Mary Chatanda, Mhe Salim Turky na Mhe Mch.Peter Msigwa.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job akipokea zawadi kutoka Spika wa Bunge la Kenya Mhe Justin Muturi.   

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Ndugai yuko katika ziara ya kibunge nchini Kenya kwa mwaliko wa Spika wa Bunge la Kenya Mhe Justin Muturi ambapo amembatana na wajumbe wa Tume ya Utumishi ya Bunge,Mhe Mary Chatanda,Mhe Salim Turky na Mhe Mch.Peter Msigwa.
Aidha akizungumza alipokutana na Spika Wa Bunge la Kenya Mhe Ndugai amesema kuwa alipokea mwaliko wa kutembelea Bunge la Kenya kutoka na historia kubwa ambayo mabunge yote mawili yanao.
"Mabunge yetu mawili yamekuwa na ushirikiano mkubwa kwa miaka mingi," alisema Mhe Ndugai.
Kwa upande wake Spika Wa Bunge la Kenya Mhe Muturi alisema "tumefurahi kwa kukubali mwaliko wetu na kuambatana na wabunge.Kupitia ziara yako nina imani sote wawili tutajifunza mengi katika uendeshaji Bunge hususan kwa mabadiliko ambayo hapa Kenya tumefanya".

Tuesday, May 16, 2017

MHE SPIKA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA PALESTINA NCHINI

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akizungumza na Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem M.Shabat, ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akimsikiliza  Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem M.Shabat,  wakati alipozungumza naye ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

 Mazungumzo yakiendelea

Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem M.Shabat akimueleza jambo Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai wakati akimkabidhi barua Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.

Balozi wa Palestina nchini Mhe. Hazem M.Shabat akimkabidhi Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai kitabu mara baada ya kuzungumza naye Ofisini kwake jijini Dar es Salaam.