WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Thursday, August 26, 2021

KAMATI YA BUNGE YA KATIBA NA SHERIA YAKUTANA NA WIZARA YA KATIBA NA SHERIA
Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria yapokea Taarifa ya Wizara ya katiba na Sheria kuhusu ufanisi wa uendeshaji wa chuo cha Usimamizi wa Mahakama Lushoto- IJA katika kutatua changamoto ya ukosefu wa Mahakama katika Mahakama za Mwanzo leo tarehe 26 Agosti 2021 

Tuesday, August 24, 2021

KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAJADILI TAARIFA YA WIZARA YA UJENZI

Kamati ya Bunge ya Miundombinu yapokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kuhusu ujenzi wa kiwanja cha ndege cha Dodoma pamoja na ujenzi wa kiwanja cha kimataifa cha Msalato tarehe 23 Agosti 2021
 
KAMATI YA KILIMO, MIFUGO NA UVUVI YAKUTANA NA WIZARA YA MAJI

 Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji yakutana na Wizara ya Maji na kupokea taarifa kuhusu Usimamizi  wa Rasilimali za Maji nchini hususan shughuli zinazotekelezwa na mabonde ya maji tarehe 23 Agosti 2021

KAMATI YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII YAPOKEA TAARIFA

Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii yapokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto  kuhusu hatua iliyofikiwa katika maandalizi ya Muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa wote tarehe 24 Agosti 2021

Friday, August 20, 2021

KAMATI YA BAJETI YAPEWA NAFUNZO KUHUSU KUHUSU SERA NA SHERIA YA UBIA

Kamishna Msaidizi Idara ya ubia wa sekta ya umma na sekta binafsi kutoka Wizara ya Fedha na Mipango, Irene Rugemalila akiwasilisha mada kuhusu sera na sheria ya ubia baina ya sekta binafsi na sekta ya umma katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Bajeti kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma

Friday, August 13, 2021

TAARIFA KUHUSU VIKAO VYA KAMATI ZA JIJINI DODOMA.

KAMATI YA BUNGE YA SHERIA NDOGO YAPITIA NA KUCHAMBUA MAONI YA WADAU

Katibu wa Kamati ya Sheria Ndogo Ndg. Mkuta Msoli (aliesimama) akielezea jambo kwa kamati ya Bunge ya Sheria wakati wakipitia na kuchambua maoni ya wadau kuhusu:
 Kanuni za usajili wa Wataalamu wa Mazingira,2021 na Kanuni za Uvuvi, 2009 katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Sheria ndogo wakipitia na kuchambua maoni ya wadau kuhusu:
 Kanuni za usajili wa Wataalamu wa Mazingira,2021 na Kanuni za Uvuvi, 2009 katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma

Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya Sheria ndogo Mhe. Ndaisaba George Ruhoro akichangia jambo wakati wakipitia na kuchambua maoni ya wadau kuhusu:
 Kanuni za usajili wa Wataalamu wa Mazingira,2021 na Kanuni za Uvuvi, 2009 katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma

KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) YAPOKEA MAONI KUTOKA KWA WADAU

CPA Godvictor Ibrahim Lyimo Rais wa Chama cha Wahasibu Tanzania (TAA) akitoa
maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Usajili wa Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu wa mwaka 2021 katika viwanja vya Bunge tarehe 12 Agosti 2021

Wajumbe wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC) wakipokea maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Usajili wa Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu wa mwaka 2021 katika viwanja vya Bunge tarehe 12 Agosti 2021

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Naghenjwa Livingstone Kaboyoka (mwenye njano) na Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Japheti Ngailonga Hasunga wakisikiliza kwa makini maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Usajili wa Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu wa mwaka 2021 katika viwanja vya Bunge tarehe 12 Agosti 2021

Thursday, August 12, 2021

MKURUGENZI WA IDARA YA HABARI MAELEZO NA MSEMAJI MKUU WA SERIKALI AKIFAFANUA JAMBO KATIKA KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa akizungumza katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma. Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa akizungumza katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma.

KAMATI YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI IKIENDELEA NA KIKAO BUNGENI JIJINI DODOMA

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Masula ya Ukimwi, Mhe. Dkt. Alice Kaijage akizungumza katika kikao cha Kamati kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma, Kamati hiyo ilijadili Taarifa ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu hali ya maambukizi ya VVU/UKIMWI , Kifua Kikuu na magonjwa yasiyoambukiza, kulia ni Katibu wa Kamati Asia Msangi

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi wakiwa katika kikao cha Kamati kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma, Kamati hiyo ilijadili Taarifa ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu hali ya maambukizi ya VVU/UKIMWI , Kifua Kikuu na magonjwa yasiyoambukiza, mafanikio na changamoto pamoja na mikakati ya kudhibiti maambukizi mapya katika tasnia hizo.

Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Innocent Bashungwa akijibu hoja za wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi katika kikao cha Kamati kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma, Mhe. Bashungwa aliwasilisha Taarifa ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu hali ya maambukizi ya VVU/UKIMWI , Kifua Kikuu na magonjwa yasiyoambukiza, mafanikio na changamoto pamoja na mikakati ya kudhibiti maambukizi mapya katika tasnia hizo.Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Ally Possi akijibu hoja za wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi katika kikao cha Kamati kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma, Wizara hiyo iliwasilisha Taarifa ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhusu hali ya maambukizi ya VVU/UKIMWI , Kifua Kikuu na magonjwa yasiyoambukiza, mafanikio na changamoto pamoja na mikakati ya kudhibiti maambukizi mapya katika tasnia hizo.

KAMATI YA BUNGE YA PIC IKIWA KATIKA KIKAO BUNGENI JIJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), Mhe. Atupele Mwakibete akizungumza katika kikao cha Kamati kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma, kulia ni Katibu wa Kamati hiyo, Elieka Saanya.

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), wakiwa katika kikao cha Kamati kilichofanyika Bungeni Jijini Dodoma.

Mkurugenzi wa Idara ya Uwekezaji Ofisi ya Msajili wa Hazina, Mohamed Nyasama akifafanua jambo katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC)  kilichofanyika Bungeni Jjijini Dodoma

Monday, August 2, 2021

SPIKA ACHOMA CHANJO YA UVIKO 19

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Mb) akichoma chanjo ya UVIKO 19  Agosti 2, 2021 Jijini Dar es Salaam

Sunday, August 1, 2021

SPIKA WA BUNGE AMEKUTANA NA WAKURUGENZI NA WAKURUGENZI WASAIDIZI ZANZIBAR

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Bunge, Mhe. Fakharia Shomar Hamisi, Mbunge wa Kwahani Mhe. Ahmed Yahya Abdulwakil na Katibu wa Bunge, Bi. Nenelwa Mwihambi mara baada ya kuwasili katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza katika kikao cha wakurugenzi na wakurugenzi wasaidizi wa Ofisi ya Bunge kilichofanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar

Katibu wa Bunge, Bi. Nenelwa Mwihambi akitoa maelezo mafupi kwa Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai kabla Mhe. Spika hajazungumza na wakurugenzi na wakurugenzi wasaidizi wa Ofisi ya Bunge katika kikao kilichofanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar