WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, November 22, 2019

SALAMU ZA SHUKRANI

SPIKA ALIFUNGA BUNGE LA VIJANA MWAKA 2019

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Katibu wa Bunge la Vijana mwaka 2019, Ndugu Winfrida Gavana kabla ya kufunga Bunge hilo lilikuwa likiendelea katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Wa pili kushoto ni Katibu Mezani wa Bunge la Vijana, Ndugu Dolvin Olomi na Spika wa Bunge la Vijana Ndugu, Ramadhani Singa. 

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akitoa Hotuba ya Kufunga Bunge la Vijana mwaka 2019, lillilokuwa likiendelea katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. 

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana wabunge wa

 Bunge la Vijana mwaka 2019 mara baada ya kulifunga Bunge hilo

lililokuwa likiendelea katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akisalimiana wabunge wa

Bunge la Vijana mwaka 2019 mara baada ya kulifunga Bunge hilo

lililokuwa likiendelea katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma

Wednesday, November 20, 2019

KIKAO CHA BUNGE LA SITA LA VIJANA CHAENDELEA HII LEO JIJINI DODOMA

Naibu Spika wa Bunge la sita la Vijana mwaka 2019 Ndg. Monica Majiba  akiongoza kikao cha Bunge hilo kilichoendelea hii leo kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.

Sehemu ya Wabunge wa Bunge la sita la Vijana mwaka 2019 wakifuatilia kwa makini kikao cha Bunge hilo kilichoendelea hii leo kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma.Thursday, November 14, 2019

SPIKA AZINDUA MPANGO KAZI WA CHAMA CHA WABUNGE RAFIKI WA MAZINGIRA

Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Rafiki wa Mazingira (TAPAFE), Mhe. Jitu Soni akitoa maelezo ya utanguzili kuhusiana na Mpango Kazi wa chama hicho kwa Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai kabla ya kuuzindua rasmi mpango huo katika mkutano uliofanyika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. 

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akifuatilia uwasilishwaji wa mada katika Mkutano wa Chama cha Wabunge Rafiki wa Mazingira (TAPAFE), katika mkutano uliofanyika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Pembeni yake ni Mwenyekiti wa chama hicho Mhe. Jitu Soni.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizindua Mpango Kazi wa Chama cha Wabunge Rafiki wa Mazingira (TAPAFE), katika mkutano uliofanyika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa chama hicho Mhe. Jitu Soni na Florentina Julius kutoka Jumuiko la Maliasili Tanzania.