WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, March 31, 2017

KAMATI YA PAC YAENDELEA NA VIKAO VYAKE.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Naghenjwa Kaboyoka akisisitiza jambo katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika leo Mjini Dodoma, pembeni ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Aeshi Hilaly. Kamati hiyo leo imejadili Taarifa ya Ukaguzi wa Ufanisi kuhusu utekelezaji wa makakati wa udhibiti wa wadudu waharibifu  na majanga ya magonjwa ya mazao Tanzania.

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakifuatilia Mjadala katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika leo Mjini Dodoma.


Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) wakifuatilia Mjadala katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika leo Mjini Dodoma.

KAMATI YA KATIBA NA SHERIA YAENDELEA NA UCHAMBUZI WA BAJETI.

Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Profesa Paramagamba Kabudi akijibu hoja za wajumbe wa Kamati ya Bunge ya  Katiba na Sheria baada ya Wizara yake kuwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria  kwa Mwaka wa Fedha 2016/17 pamoja na Makadirio ya Mapato na  Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma.

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria wakijadili Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria  kwa Mwaka wa Fedha 2016/17 pamoja na Makadirio ya Mapato na  Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma.

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe. Rashid Shangazi (katikakati) akimsikiliza Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Mhe. Profesa Paramagamba Kabudi wakati akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara yake kwa Mwaka wa Fedha 2016/17 pamoja na Makadirio ya Mapato na  Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma.

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria wakifuatilia kwa makini Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Katiba na Sheria  kwa Mwaka wa Fedha 2016/17 pamoja na Makadirio ya Mapato na  Matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 katika kikao kilichofanyika leo Mjini Dodoma.

TANZIA


Thursday, March 30, 2017

KAMATI YA MIUNDOMBINU YAJADILI BAJETI YA WIZARA YA UJENZI

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakiwa katika kikao ambapo leo wamepokea Taarifa
kuhusu utekelezaji wa bajeti ya Mwaka wa Fedha 2016/17 pamoja na makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2017/18  ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakifuatilia mjadala katika kikao hicho ambapo leo wamepokea Taarifa kuhusu utekelezaji wa bajeti ya Mwaka wa Fedha 2016/17 pamoja na makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2017/18  ya Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.

KAMATI YAJADILI BAJETI YA MKOA WA ARUSHA

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa , Mhe. Venance Mwamoto akisikiliza  taarifa kuhusu utekelezaji wa bajeti ya Mwaka wa Fedha 2016/17 pamoja na makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 ya Ofisi ya Rais TAMISEMI, fungu namba 70 Mkoa wa Arusha, kushoto ni Katibu wa Kamati hiyo Ndg. Chacha Nyakega


Wajumbe wa Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa wakifuatilia uwasilishwaji wa  taarifa kuhusu utekelezaji wa bajeti ya Mwaka wa Fedha 2016/17 pamoja na makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 ya Ofisi ya Rais TAMISEMI, fungu namba 70 Mkoa wa Arusha.


Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Seleman Jafo akifiuatilia mjadala kuhusiana na taarifa kuhusu utekelezaji wa bajeti ya Mwaka wa Fedha 2016/17 pamoja na makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 ya Ofisi ya Rais TAMISEMI, fungu namba 70 Mkoa wa Arusha katika kikao cha Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa.Kushoto ni viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Arusha


Mjumbe wa Kamati Utawala na Serikali za Mitaa  Mhe. Juma Ngwali akisisitiza jambo katika kikao cha kamati hiyo ambacho kilipokea taarifa kuhusu utekelezaji wa bajeti ya Mwaka wa Fedha 2016/17 pamoja na makadirio ya mapato na matumizi kwa Mwaka wa Fedha 2017/18 ya Ofisi ya Rais TAMISEMI, fungu namba 70 Mkoa wa Arusha.