Thursday, July 27, 2017
MHE. SPIKA APONGEZWA KWA USHINDI KATIKA MKUTANO WA MABUNGE YA JUMUIYA YA MADOLA BARANI AFRIKA
MHE. SPIKA AKIWA NCHINI NIGERIA KUHUDHURIA MKUTANO WA MASPIKA
Wednesday, July 26, 2017
Wednesday, July 19, 2017
MHESHIMIWA SPIKA AHUDHURIA MAZISHI YA MKE WA DKT. HARRISON MWAKYEMBE
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akimfariji Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe wakati mazishi ya Mke wake, Marehemu Linah Mwakyembe Wilayani Kyela, Jijini Mbeya. |
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akimsabai Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt Harrison Mwakyembe wakati mazishi ya Mke wake, Marehemu Linah Mwakyembe Wilayani Kyela, Jijini Mbeya. |
SPIKA APATA UGENI KUTOKA BARAZA LA UMOJA WA MATAIFA WA HAKI ZA BINADAMU
![]() |
Add caption |
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akimsikiliza Mtaalamu wa kujitegemea
kutoka Baraza la Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu, Ndg. Ikponwosa
Ero , nyumbani kwake Mjini Dodoma. katikati ni katibu wa Spika, Ndg.
Said Yakub
Monday, July 17, 2017
Thursday, July 13, 2017
SPIKA ATEMBELEWA NA RAIS MSTAAFU WA IRELAND NA MAMA GRACA MACHEL
Rais Mstaafu wa Ireland, Mheshimiwa Mary Robinson akitoa neno la shukrani kwa Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai mara baada ya kutembelea Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma kulia ni Mama Graca Machel |
Tuesday, July 11, 2017
MAKAMISHINA WA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE LA UGANDA WAKUTANA NA MAKAMISHINA WA TUME YA UTUMISHI WA BUNGE LA TANZANIA
Kikao kikiendelea
Makamishina wa Tume ya Utumishi wa Bunge la Uganda na Makamishina wa Tume ya Utumishi wa Bunge la Tanzania (waliokaa) na baadhi ya Watumishi wa pande zote mbili katika picha ya pamoja mara baada ya kikao.
Subscribe to:
Posts (Atom)