WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Saturday, February 1, 2020

SPIKA WA BUNGE AFUNGUA MPANGO WA LISHE BORA WILAYANI KONGWA

Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Ndugai, akichangia jambo kwenye kikao kilichohudhuriwa na Wabunge wa Chama cha Wabunge Vinara wa Lishe kilicholenga kuboresha Lishe Bora Wilayani Kongwa kilichofanyika kwenye Ofisi ya Mkurugenzi wa Wilaya hiyo hii leo.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akichangia jambo kwenye kikao kilichohudhuriwa na Wabunge wa Chama cha Wabunge Vinara wa Lishe kilicholenga kuboresha Lishe Bora Wilayani Kongwa kilichofanyika kwenye Ofisi ya Mkurugenzi wa Wilaya hiyo hii leo.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wabunge Vinara wa Lishe Mheshimiwa Esther Matiko akichangia jambo kwenye kikao kilicholenga kuboresha Lishe Bora Wilayani Kongwa kilichofanyika kwenye Ofisi ya Mkurugenzi wa Wilaya hiyo hii leo.

Mjumbe wa Chama cha Wabunge Vinara wa Lishe Dkt Christine Ishengoma akichangia jambo kwenye kikao kilicholenga kuboresha Lishe Bora Wilayani Kongwa kilichofanyika kwenye Ofisi ya Mkurugenzi wa Wilaya hiyo hii leo.