WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Monday, September 13, 2021

TWPG WAKUTANA NA MTANDAO WA ELIMU TANZANIA NA KUJADILIANA JUU YA ELIMU KWA WATOTO WA KIKE NCHINI

 

Mbunge wa Viti Maalum anauewakilisha  Vijana Mheshimiwa Ng’wasi Kamani akichangia jambo  kwenye kikao cha Wabunge wanaounda Umoja  wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) walipokutana na Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMET) kujadiliana juu ya uratibu wa kurudisha masomoni watoto wa kike walioacha masomo yao hapa nchini kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma hii leo.


Ndg. Sempeho Siafu Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMET) akifafanua jambo kwenye kikao cha Wabunge wanaounda Umoja  wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) walipokutana na kujadiliana juu ya uratibu wa kurudisha masomoni watoto wa kike walioacha masomo yao hapa nchini kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma hii leo.

Wajumbe wa Umoja  wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG)  wakiwa  kwenye kikao na Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMET) kujadiliana juu ya uratibu wa kurudisha masomoni watoto wa kike walioacha masomo yao hapa nchini kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma hii leo.

Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG) Mheshimiwa Shally Raymond akifafanua jambo  kwenye kikao cha Wabunge hao walipokutana na Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMET) na kujadiliana juu ya uratibu wa kurudisha masomoni watoto wa kike walioacha masomo yao hapa nchini kilichofanyika kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma hii leo.VIKAO VYA BUNGE VIMEAHIRISHWA HADI TAREHE 02 NOVEMBA 2021