WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Monday, March 29, 2021

KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE YAKUTANA KAMA SEHEMU YA MAANDALIZI YA KUANZA KWA MKUTANO WA TATU WA BUNGE LA KUMI NA MBILI

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi ya Bunge hii leo kama sehemu ya maandalizi ya kuanza kwa Vikao vya Mkutano wa tatu wa Bunge la Kumi na mbili vinavyotarajiwa kuanza siku ya Jumanne tarehe 30 Machi, 2021 Jijini Dodoma. 

Wajumbe wa Kamati ya Uongozi ya Bunge wakifuatilia jambo kwenye Kikao cha Kamati hiyo kilichokaa hii leo kama sehemu ya maandalizi ya kuanza kwa Vikao vya Mkutano wa tatu wa Bunge la Kumi na mbili vinavyotarajiwa kuanza siku ya Jumanne tarehe 30 Machi, 2021 Jijini Dodoma. 

Monday, March 22, 2021

WABUNGE WAKIMLILIA HAYATI DKT. MAGUFULI WAKATI WAKIAGA MWILI WAKE KATIKA VIWANJA VYA BUNGE JIJINI DODOMA

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (anayetangulia),  pamoja na Msafara wake wakiwasili katika vya Bunge kwa ajili ya Shughuli ya Waheshimiwa Wabunge ya  kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza wakati wa Shughuli ya Waheshimiwa Wabunge ya  kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai na Mke wake, Dkt. Fatma Mganga wakiweka shada la maua katika Jeneza lenye  mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa Shughuli ya Waheshimiwa Wabunge ya  kuaga mwili huo katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai na Mke wake, Dkt. Fatma Mganga wakitoa heshima za mwisho katika jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa Shughuli ya Waheshimiwa Wabunge ya  kuaga mwili huo katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati wa Shughuli ya Waheshimiwa Wabunge ya  kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge akiweka shada la maua katika Jeneza lenye  mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa Shughuli ya Waheshimiwa Wabunge ya  kuaga mwili huo katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

Waheshimiwa Wabunge wakimlilia aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli wakati wa Shughuli ya kumuaga katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.

Sunday, March 14, 2021

KAMATI YA BUNGE YA ARDHI, MALIASILI NA UTALII YAIPONGEZA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

Mratibu wa Mradi wa Panda Miti Kibiashara (PFP) Ndg. Rahel Swai akitoa taarifa na maelezo kuhusu mradi huo kwa Waheshimiwa wabunge kabla ya kufanya ziara na kuona mradi huo.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Aloyce Kwezi (mwenye scarf) kulia kwake Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (mb) Waziri wa Maliasili na Utalii wakiwaongoza wabunge kwenda kukagua Mradi wa Panda Miti kibiashara (PFP) Mafinga

Kamishna Uhifadhi wa TFS Prof. Dos Silayo akitoa taarifa kwa waheshimiwa wabunge ya Shamba la Miti Sao Hill kabla ya kufanya ukaguzi wa shamba hilo.

Na Zanele Chiza

Iringa.

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kwa kupunguza tatizo la ujangili hapa nchini.

Mwenyekiti wa kamati hiyo Dkt. Aloyce Kwezi ametoa pongezi wakati wa ziara ya kamati hiyo katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha na maeneo yanayosimamiwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) ambapo amesema hatua hiyo imesaidia kwa kiasi kikubwa kuongezeka kwa idadi ya wanyama.

“Napongeza kazi kubwa iliyofanywa na Wizara, TANAPA wamefanya kazi kubwa sana ya kupunguza ujangili, hili limesaidia kuongezeka kwa idadi ya wanyamapori hapa nchini, pia nawapongeza TFS kwa kazi kubwa ambayo wamefanya” Amesema Dkt. Kwezi

Kuhusu uboreshaji wa miundombinu maeneo ya Hifadhi, Kamati hiyo imeishauri Wizara katika kipindi hiki cha bajeti kufuatilia kwa karibu ujenzi wa Barabara inayotoka Iringa kuelekea katika Hifadhi ya Taifa ya Ruaha.