WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Tuesday, October 31, 2017

KAMATI YA BUNGE YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) IKIWA KATIKA KIKAO CHAKE MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali 

(PAC), Mheshimiwa Naghenjwa Kaboyoka akisisitiza 

jambo katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika 

Mjini 
Dodoma, kulia kwake ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mheshimiwa Aeshi Hilary.

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali 

(PAC) wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo Mjini 

Dodoma.

Baadhi ya wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu

 za Serikali (PAC), wakiwa katika mjadala wakati 

Kamati hiyo ilipokutana katika kikao chake Mjini 

Dodoma.

KAMATI YA BUNGE YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA YAENDELEA NA VIKAO VYAKE MJINI DODOMA

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali 

za Mitaa wakiwa katika kikao na Watendaji wa Ofisi 

ya 

Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala 

ambapo walijadili  Taarifa ya Maboresho ya 

Mfumo wa Utumishi na Mshahara Serikalini (MCMIS), 

Kulia kwake ni Katibu wa Kamati hiyo, Eunike Shirima.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi 

wa Umma na Utawala, Mheshimiwa George 

Mkuchika  akisoma Taarifa ya Maboresho ya Mfumo 

wa Utumishi na Mshahara Serikalini (MCMIS) wakati 

Kamati hiyo ilipokutana na Kamati ya Bunge ya 

Utawala na Serikali za Mitaa Mjini Dodoma. Kulia

 kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Laurean 

Ndumbaro.

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Utawala 

na Serikali za Mitaa akifuatilia majadiliano ya 

Wajumbe 

wa Kamati yake wakati Kamati hiyo ilipokutana na 

Waziri wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa 

Umma na Utawala kwa ajili ya kupokea na kujadili 

Taarifa ya Maboresho ya Mfumo wa Utumishi na 

Mshahara Serikalini (MCMIS), Kulia kwake ni Katibu wa 

Kamati hiyo, Eunike Shirima.

KAMATI YA BUNGE YA VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA IKIWA KATIKA KIKAO MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara 

na Mazingira Mheshimiwa Suleiman Ahmed Saddiq 

akifafanua jambo wakati Kamati hiyo ilipokutana na 

Watendaji wa Wizara ya Viwanda na Biashara  Mjini 

Dodoma.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda  na Biashara,

 Profesa Elisante Ole Gabriel akijubu hoja mbalimbali 

za Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, 

Biashara na Mazingira wakati Kamati hiyo ilipokutana 

na Watendaji wa Wizara hiyo Mjini Dodoma.

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara 

na Mazingira wakifuatilia kwa ukaribu maelezo ya

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara 

Profesa Elisante Ole Gabriel katika Kikao cha Kamati 

hiyo kilichofanyika Mjini Dodoma.

Friday, October 27, 2017

ALIYEKUWA KATIBU WA BUNGE DKT. KASHILILAH AMKABIDHI KATIBU MPYA WA BUNGE OFISI, MBELE YA SPIKA NDUGAISpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Job  Ndugai (katikati) akishuhudia aliyekuwa Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah  (kushoto) akimkabidhi  Ofisi Katibu Mpya wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai, mapema leo Jijini Dar es Salaam.Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Job  Ndugai (katikati) akishuhudia aliyekuwa Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah  (kushoto) akimkabidhi  Ofisi Katibu Mpya wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai, mapema leo Jijini Dar es Salaam.Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Job  Ndugai katikati akizungumza na aliyekuwa Katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah  (kushoto) na Katibu Mpya wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai, wakati wa makabidhiano ya Ofisi mapema leo Jijini Dar es Salaam.Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akifurahia jambo na aliyekuwa katibu wa Bunge Dkt. Thomas Kashililah  (kushoto) na Katibu Mpya wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai, wakati wa makabidhiano ya Ofisi mapema leo Jijini Dar es Salaam.

Thursday, October 26, 2017

KAMATI YA BAJETI YAENDELEA NA VIKAO VYAKE MJINI DODOMA

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo Mjini Dodoma leo ambapo wamekutana na Taasisi ya Sekta Binafsi kujadili kuhusu vyanzo vya mapato ya Serikali na mapendekezo ya hatua za kupunguza utegemezi wa kibajeti kwa mwaka 2018/19

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo Mjini Dodoma ambapo leo wamekutana na Taasisi ya Sekta Binafsi kujadili kuhusu vyanzo vya mapato ya Serikali na mapendekezo ya hatua za kupunguza utegemezi wa kibajeti kwa mwaka 2018/19

Mjumbe wa Kamati ya Bajeti, Mheshimiwa Janeth Mbene akichangia jambo katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Mjini Dodoma, ambapo leo imekutana na Taasisi ya Sekta Binafsi kujadili kuhusu vyanzo vya mapato ya Serikali na mapendekezo ya hatua za kupunguza utegemezi wa kibajeti kwa mwaka 2018/19


Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Mheshimiwa Hawa Ghasia akiongoza kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Mjini Dodoma ambapo leo imekutana na Taasisi ya Sekta Binafsi kujadili kuhusu vyanzo vya mapato ya Serikali na mapendekezo ya hatua za kupunguza utegemezi wa kibajeti kwa mwaka 2018/19