WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, July 30, 2021

DKT.HOSEAH AMEWASILISHA MADA KUHUSU MAADILI YA UONGOZI KWA WAKURUGENZI NA WAKURUGENZI WASAIDIZIRais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Dkt. Edward Hoseah akitoa mada kuhusu Maadili ya Uongozi kwa wakurugenzi na wakurugenzi wasaidizi wa Ofisi ya Bunge, Dkt. Hoseah alitoa mada katika mafunzo ya viongozi hao yanayofanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge ZanzibarRais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Dkt. Edward Hoseah akitoa mada kuhusu Maadili ya Uongozi kwa wakurugenzi na wakurugenzi wasaidizi wa Ofisi ya Bunge, Dkt. Hoseah alitoa mada katika mafunzo ya viongozi hao yanayofanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar

Wakurugenzi na wakurugenzi wasaidizi wa Ofisi ya Bunge wakifuatilia uwasilishwaji wa mada katika mafunzo ya kuwajengea uwezo yanayofanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge, Zanzibar

Thursday, July 29, 2021

PICHA YA PAMOJA YA WASHIRIKI WA MAFUNZO NA MBUNGE WA BUTIAMA, MHE. JUMANNE SAGINI

Wakurugenzi na wakurugenzi wasaidizi wakiwa katika picha ya pamoja na Mbunge wa Butiama, Mhe.Jumanne Sagini (wa nne kushoto) baada ya kuwasilisha mada katika mafunzo ya viongozi hao, watatu kushoto ni Katibu wa Bunge. Bi.Nenelwa Mwihambi, Mafunzo hayo yamefanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar

MAFUNZO YA WAKURUGENZI NA WAKURUGENZI WASAIDIZI YANAENDELEA OFISI NDOGO YA BUNGE ZANZIBAR

Mbunge wa Butiama, Mhe. Jumanne Sagini akitoa mada kuhusu Mahusiano na mawasiliano yenye tija ya viongozi wa kisiasa na kitendaji kwa wakurugenzi na wakurugenzi wasaidizi wa Ofisi ya Bunge, Mhe.Sagini alitoa mada katika mafunzo ya viongozi hao yanayofanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar

Katibu wa Bunge, Bi. Nenelwa Mwihambi, ndc akizungumza katika mafunzo ya kuwajengea uwezo wakurugenzi na wakurugenzi wasaidizi wa Ofisi ya Bunge inayofanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge, Zanzibar

Wakurugenzi na wakurugenzi wasaidizi wa Ofisi ya Bunge wakifuatilia uwasilishwaji wa mada katika mafunzo ya kuwajengea uwezo yanayofanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge, Zanzibar

 

Wednesday, July 28, 2021

MAFUNZO YA WAKURUGENZI NA WAKURUGENZI WASAIDIZI WA OFISI YA BUNGE YAMEFUNGULIWA

Katibu wa Bunge, Nenelwa Mwihambi, ndc akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo  Wakurugenzi na Wakurugenzi Wasaidizi wa Ofisi ya Bunge yanayotolewa na Taasisi ya Uongozi, Mafunzo hayo yanafanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar, kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Uongozi, Kadari Singo 

Wakurugenzi na Wakurugenzi Wasaidizi wa Ofisi ya Bunge wakiwa katika mafunzo ya kuwajengea uwezo yanayotolewa na Taasisi ya Uongozi, Mafunzo hayo yanafanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar

Wakurugenzi na Wakurugenzi Wasaidizi wa Ofisi ya Bunge wakifuatilia uwasilishwaji wa mada katika mafunzo ya kuwajengea uwezo yanayotolewa na Taasisi ya Uongozi, Mafunzo hayo yanafanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar


Tuesday, July 27, 2021

MENEJIMENTI YA BUNGE YAKUTANA ZANZIBAR

Wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Bunge wakiwa katika kikao cha Menejimenti kilichofanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar.
 

KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA OFISI YA BUNGE CHAHITIMISHWA

Katibu wa Bunge na Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Bunge, Bi Nenelwa Mwahambi  akifunga kikao cha siku mbili cha Baraza kilichofanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Bunge wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza kikao cha siku mbili cha Baraza kilichofanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar

 

KIKAO CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI CHAENDELEA KATIKA OFISI NDOGO ZA BUNGE ZANZIBAR

Katibu wa Bunge, Bi Nenelwa Mwihambi  ,ndc akiongoza kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Bunge kilichofanyika katika Ofisi Ndogo za Bunge Zanzibar, kushoto ni Katibu wa Baraza Bi Felister Njovu

Mkurugenzi wa Idara ya Bajeti, Michael Kadebe akiwasilisha Taarifa ya Bajeti ya Ofisi ya Bunge ya Mwaka 2021/2022 iliyopitishwa na Bunge na Mpango Kazi wake katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi kilichofanyika katika Ofisi Ndogo za Bunge Zanzibar

mb


Mjumbe wa Baraza la Wafanyakazi, Almasi Kitojo akichangia hoja katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Bunge kilichofanyika katika Ofisi Ndogo za Bunge Zanzibar

Monday, July 26, 2021

KIKAO CHA CHA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA OFISI YA BUNGE KIMEFANYIKA KATIKA OFISI NDOGO ZA BUNGE ZANZIBAR

Katibu wa Bunge, Bi Nenelwa Mwihambi, ndc akifungua kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Bunge kinachofanyika kwa muda wa siku mbili katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar

Mkurugenzi wa Idara ya Bajeti katika Ofisi ya Bunge, Ndugu Michael Kadebe akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti ya Bunge kwa Mwaka wa Fedha 2020/2021 katika kikao cha Baraza kilichofanyika katika Ofisi Ndogo ya Bunge, Zanzibar

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Bunge wakiwa katika Kikao cha Baraza kinachofanyika kwa muda wa siku mbili katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar.

Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Bunge wakiwa katika Kikao cha Baraza kinachofanyika kwa muda wa siku mbili katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar.


 Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Ofisi ya Bunge wakiwa katika Kikao cha Baraza kinachofanyika kwa muda wa siku mbili katika Ofisi Ndogo ya Bunge Zanzibar.