WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, May 8, 2020

KAMATI YA KILIMO YAKUTANA NA WADAU WA KILIMO CHA MBOGA, MATUNDA, VIUNGO NA MAUA JIJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Mheshimiwa Mahmoud Mgimwa akifafanua jambo mbele ya Kamati hiyo ilipokutana na Wadau mbalimbali kujadili hali ya maendeleo katika kilimo cha Mbogamboga, Matunda, Viungo na Maua hapa nchini kilichofanyika Jijini Dodoma hii leo.

Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Japhet Hasunga akifafanua jambo mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji ilipokutana na Wadau mbalimbali kujadili hali ya maendeleo katika kilimo cha Mbogamboga, Matunda, Viungo na Maua hapa nchini kilichofanyika Jijini Dodoma hii leo. 

Wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji wakifuatilia kwa makini mjadala wa Kamati hiyo ilipokutana na Wadau mbalimbali kujadili hali ya maendeleo katika kilimo cha Mbogamboga, Matunda, Viungo na Maua hapa nchini kilichofanyika Jijini Dodoma hii leo. 

Mjumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Mheshimiwa Dkt. Ritta Kabati akichangia jambo kwenye mjadala wa Kamati hiyo ilipokutana na Wadau mbalimbali kujadili hali ya maendeleo katika kilimo cha Mbogamboga, Matunda, Viungo na Maua hapa nchini kilichofanyika Jijini Dodoma hii leo.