WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Thursday, January 31, 2019

SPIKA WA BUNGE AKIMUAGA MHE. KITWANGA UWANJA WA NDEGE JIJINI DODOMA WAKATI AKIPELEKWA JIJINI DAR ES SALAAM KWA MATIBABU ZAIDI

 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akiagana na Mbunge wa Misugwi Mhe. Charles Kitwaga katika Uwanja wa Ndege wa Jijini Dodoma kabla ya kusafirishwa kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa  matibabu zaidi. Kulia kwa Spika ni Naibu wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula na kushoto kwa Spika ni Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai.
 Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akiagana na Mbunge wa Misugwi Mhe. Charles Kitwaga katika Uwanja wa Ndege wa Jijini Dodoma kabla ya kusafirishwa kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa  matibabu zaidi. Kulia kwa Spika ni Naibu wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Angelina Mabula na kushoto kwa Spika ni Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai.

Wednesday, January 23, 2019

KAMATI YA HUDUMA YA MAENDELEO YA JAMII YAPOKEA TAARIFA KUTOKA BODI YA MIKOPO

Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) Ndg. Abdul Razaq Badru  akiwasilisha Taarifa ya utekelezaji wa majukumu na bajeti ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu kwa kipindi cha nusu mwaka 2018/2019 mbele ya  Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma hii leo..
Mjumbe wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mheshimiwa Hawa Ghasia akichangia jambo mbele ya Kamati hiyo ilipokuwa ikipokea na kujadili Taarifa ya utekelezaji wa majukumu na bajeti ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu kwa kipindi cha nusu mwaka 2018/2019 katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma hii leo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Peter Selukamba akifafanua jambo mbele ya Kamati hiyo ilipokuwa ikipokea na kujadili Taarifa ya utekelezaji wa majukumu na bajeti ya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya juu kwa kipindi cha nusu mwaka 2018/2019 katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma hii leo.

Sunday, January 20, 2019

WAJUMBE WA KAMATI TATU ZA BUNGE WAJENGEWA UELEWA KUHUSU MISWADA MIWILI ILIYOSOMWA BUNGENI

Wajumbe wa Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa, Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii wakiwa katika kikao cha pamoja kwa ajili ya kujengewa uelewa kuhusiana na Muswada wa Sheria ya Huduma za Maji na Usafi wa Mazingira wa mwaka 2018 na Muswada wa Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini wa mwaka 2018.kikao hicho kimefanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma

Wajumbe wa Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa, Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii wakifuatilia mada kuhusu Muswada wa Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini wa mwaka 2018 kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), Ndugu Gilliard Ngewe katika kikao cha pamoja cha kamati hizo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), Ndugu Gilliard Ngewe akitoa mada kuhusu Muswada wa Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhini wa mwaka 2018 kwa wajumbe wa Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa, Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii katika kwenye kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, pembeni yake ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Ndugu Mussa Zungu.


Mwezeshaji kutoka Wizara ya Maji, Ndugu Simon Nkanyemka akitoa mada kuhusu Sheria na Mifumo katika Usimamizi na Uendeshaji wa Sekta ya Maji kwa wajumbe wa  Kamati ya Utawala na Serikali za Mitaa, Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama na Kamati ya Huduma na Maendeleo ya Jamii katika kikao cha pamoja kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma

VIONGOZI MBAMBALI VYA VYAMA VYA SIASA NCHINI WAJITOKEZA MBELE YA KAMATI YA KATIBA NA SHERIA KUTOA MAONI YAO KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA MAREKEBISHO YA SHERIA YA VYAMA VYA SIASA WA MWAKA 2018

Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa waliojitokeza kwa ajili ya kutoa maoni kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa wa mwaka 2018 katika kikao cha Kamati ya Katiba na Sheria kilichofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Wa kwanza mbele ni Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Mheshimiwa Jenista Mhagama akifuatilia mjadala wa kukusanya maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa wa mwaka 2018 katika kikao cha Kamati ya Katiba na Sheria kilichofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Katikati ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mheshimiwa Stella Ikupa na Katibu Mkuu, Ndugu Maimuna Tarishi.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Mheshimiwa Jenista Mhagama akifuatilia mjadala wa kukusanya maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa wa mwaka 2018 katika kikao cha Kamati ya Katiba na Sheria kilichofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Katikati ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Mheshimiwa Stella Ikupa na Katibu Mkuu, Ndugu Maimuna Tarishi.

Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa waliojitokeza kwa ajili ya kutoa maoni kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa wa mwaka 2018 katika kikao cha Kamati ya Katiba na Sheria kilichofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Wa kwanza mbele ni Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mutungi.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mheshimiwa Mohammed Mchengelwa akizungumza katika kikao cha kamati kilichofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodma maalum kwa ajili ya kupokea maoni ya wadau wa vyama siasa kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa wa mwaka 2018. Wa kwanza kulia kwake ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo na wengine ni Makatibu wa Kamati.

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Hamphrey Polepole akifuatilia mjadala wa kukusanya maoni ya wadau kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa wa mwaka 2018 katika kikao cha Kamati ya Katiba na Sheria kilichofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma

Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa waliojitokeza kwa ajili ya kutoa maoni kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa wa mwaka 2018 katika kikao cha Kamati ya Katiba na Sheria kilichofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Wa mwisho, kulia ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dkt.Bashiru Ali.

Mbunge wa zamani, Ndugu Felix Mkosamali akiambatana na wadau wengine wa vyama vya siasa wajitokeza kutoa maoni kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa wa mwaka 2018 katika kikao cha Kamati ya Katiba na Sheria kilichofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. 

Baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa waliojitokeza kwa ajili ya kutoa maoni kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa wa mwaka 2018 katika kikao cha Kamati ya Katiba na Sheria kilichofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. Wa kwanza kulia ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Vicent Mashinji na katikati ni Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Zanzibar, Ndugu Salum Mwalimu.

Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA), Ndugu Hashim Rungwe (katikati) akiwa ameambatana na viongozi wenzake wakiwa mbele ya Kamati ya Katiba na Sheria kwa ajili ya kutoa maoni kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa wa mwaka 2018 katika kikao cha Kamati ya Katiba na Sheria kilichofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma. 

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Vicent Mashinji akitoa maoni maoni kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa wa mwaka 2018 katika kikao cha Kamati ya Katiba na Sheria kilichofanyika katika Ukumbi wa Msekwa Jijini Dodoma.

Thursday, January 17, 2019

KIKAO CHA KAMATI YA BUNGE YA NISHATI NA MADINI

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Dunstan Kitandula akiongoza kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo Kamati imepokea na kujadili taarifa mbalimbali za Wizara ya Nishati, pembeni yake ni Katibu wa Kamati hiyo, Felister Mgonja.


Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini, wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo wamepokea na kujadili taarifa mbalimbali za Wizara ya Nishati.

Naibu Waziri wa Wizara ya Nishati, Mhe. Subira Mgalu akiwa akizungumza katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo Kamati hiyo imepokea na kujadili taarifa mbalimbali za Wizara ya Nishati

WAJUMBE WA KAMATI YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA WAKIENDELEA NA KIKAO CHA KAMATI

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, wakiwa katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Jijini katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo wamepokea na kujadili taarifa ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kuhusu utendaji wa Tume ya Utumishi katika kipindi cha Julai hadi Desemba mwaka 2018.

Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, Mhe. Mwanne Nchemba akizungumza katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Jijini katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, katikati ni Katibu wa Kamati, Eunice Shirima na wa kwanza ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Jason Rweikiza.

Naibu Waziri , Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mwita Waitara akifuatilia hoja za wajumbe wa Kamati Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa, katika kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Jijini katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo Kamati imepokea na kujadili taarifa ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kuhusu utendaji wa Tume ya Utumishi katika kipindi cha Julai hadi Desemba mwaka 2018.

WADAU WAJITOKEZA KUTOA MAONI MUSWADA WA VYAMA VYA SIASA

Wadau mbalimbali wakiwa wamejitokeza katika Kikao cha Kamati ya Bunge Katiba na Sheria kwa ajili ya kutoa maoni yao kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa wa mwaka 2018. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Msekwa kikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Mohamed Mchengelwa.

Wadau mbalimbali wakiwa wamejitokeza katika Kikao cha Kamati ya Bunge Katiba na Sheria kwa ajili ya kutoa maoni yao kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa wa mwaka 2018. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Msekwa kikiongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Mohamed Mchengelwa.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe. Mohamed Mchengelwa akizungumza katika Kikao cha kukusanya maoni kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa wa mwaka 2018 kilichofanyika katika Ukumbi wa Msekwa, kulia kwake ni Makamu Mwennyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Najma Giga.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria, Mhe. Mohamed Mchengelwa akizungumza katika Kikao cha kukusanya maoni kuhusu Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa wa mwaka 2018 kilichofanyika katika Ukumbi wa Msekwa, kulia kwake ni Makamu Mwennyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Najma Giga.

Wadau wakitoa maoni

Wadau wakitoa maoni

Wednesday, January 16, 2019

KAMATI YA MIUNDOMBINU YAENDELEA NA VIKAO BUNGENI JIJINI DODOMA

Mshauri wa mambo ya sheria Ofisi ya Bunge, Ndugu SerafineTamba akizungumza katika kikao cha Kamati ya Miundombinu kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo alikuwa akiwapitisha wajumbe wa Kamati hiyo katika Muswada wa Sheria ya Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini wa mwaka 2018.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, Mhe. Moshi Kakoso akifafanua jambo katika kikao cha kamati  hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma , katikati ni Katibu Mkuu Wizara ya Uchukuzi, Dkt. Leonard Chamuriho na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), Ndugu Giliard Ngewe

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), Ndugu Giliard Ngewe akiwasilisha mada kuhusu Sheria ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini, 2018 katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Mindombinu kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu wakifuatilia mada kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA), Ndugu Giliard Ngewe katika kikao cha kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Isack Kamwelwe akifuatiia mjadala katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Miundmbinu kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma ambapo amewasili maelezo ya Muswada wa Sheria ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania wa mwaka 2018 mbele ya Kamati hiyo.kushoto  Naibu Waziri, Mhe. Atashasta Nditiye.