WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Wednesday, February 27, 2019

KAMATI YA AMANI YA MKOA WA DAR ES SALAAM YAMTEMBELEA KATIBU WA BUNGE OFISINI KWAKE

  Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai (Kulia) akimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harison Mwakyembe alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma. Waziri Dkt. Mwakyembe aliongozana na Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salim na Katibu wa Kamati hiyo  Mchungaji Jackson Sosthenes. 

  Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai akimsikiliza Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harison Mwakyembe alipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.

Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai akifurahi jambo na wageni wake Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harison Mwakyembe, Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salim na Katibu wa Kamati hiyo  Mchungaji Jackson Sosthenes walipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma

 Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harison Mwakyembe, Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Alhad Mussa Salim na Katibu wa Kamati hiyo  Mchungaji Jackson Sosthenes walipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma.
Friday, February 8, 2019

WAGENI MBALIMBALI WAENDELEA KUTEMBELEA BUNGE KWA LENGO LA KUJIFUNZA

Afisa Itifaki wa Ofisi ya Bunge Ndg. Patson Sobha akifafanua jambo alipokuwa akitoa elimu kwa Wageni mbalimbali waliotembelea Bunge kwa lengo la kujifunza namna Mhimili huo unavyofanya kazi zake hii leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.

Wanafunzi kutoka Shule ya Sekondari Dakawa ya Mkoani Morogoro wakifuatilia kwa umakini maelezo kutoka kwa Maafisa wa Bunge walipokuwa wakitoa elimu kwa Wageni mbalimbali waliotembelea Bunge kwa lengo la kujifunza namna Mhimili huo unavyofanya kazi zake hii leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.

Wanafunzi kutoka Chuo cha Elimu ya Biashara -CBE cha Jijini Dodoma wakifuatilia kwa umakini maelezo kutoka kwa Maafisa wa Bunge walipokuwa wakitoa elimu kwa Wageni mbalimbali waliotembelea Bunge kwa lengo la kujifunza namna Mhimili huo unavyofanya kazi zake hii leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Jijini Dodoma.

Wednesday, February 6, 2019

WAFADHILI WA MRADI WA LSP II WATEMBELEA BUNGE

Mwenyekiti wa Umoja wa Wabunge Wanawake  Tanzania (TWPG), Mhe. Margaret Sitta akizunguma katika kikao cha baadhi ya wajumbe wa umoja huo pamoja na wafadhili wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo Awamu ya Pili (LSP II) kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Baadhi ya wajumbe Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania  (TWPG), wakiwa katika kikao pamoja na wafadhili wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo Awamu ya Pili (LSP II) kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Wakurugenzi wa Idara na Vitengo katika Ofisi ya Bunge wakiwa katika Kikao cha pamoja na wafadhili wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo Awamu ya Pili (LSP II) kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Baadhi ya wafadhili wa Mradi wa Kulijengea Bunge Uwezo Awamu ya Pili (LSP II) wakifuatilia jambo Katika kikao cha pamoja  na Wakurugenzi wa Idara na Vitengo katika Ofisi ya Bunge  kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Tuesday, February 5, 2019

MAFUNZO YA MAKATIBU WA WABUNGE YAENDELEA JIJINI DODOMA

Mkurugenzi Msaidizi Huduma kwa Wabunge wa Ofisi ya Bunge, 

Seleman Mvunye akitoa ufafanuzi wa jambo kwa makatibu wa 

waheshimiwa wabunge majimboni waliokuwa wakipatiwa

mafunzo ya kujengewa uwezo wa kutekeleza majukumu 

yao.mafunzo hayo yametolewa  na Ofisi ya Bunge chini ya mradi 

wa kulijengea Bunge Uwezo (LSP II) unaofadhiliwa na Shirika la 

Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP)

Mbunge wa Ilala, Mhe. Mussa Zungu akifunga mafunzo  kwa makatibu wa waheshimiwa wabunge majimboni kwa ajili ya kujengewa wa kutekeleza majukumu yao.mafunzo hayo yametolewa  na Ofisi ya Bunge chini ya mradi wa kulijengea Bunge Uwezo (LSP II) unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), kushoto kwake  ni Afisa wa Mradi wa LSP II Ndugu Angelus Turuka

Baadhi ya makatibu wa waheshimiwa wabunge majimboni wakipatiwa mafunzo ya kujengewa uwezo.mafunzo hayo yaliyofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma yametolewa  na Ofisi ya Bunge chini ya mradi wa kulijengea Bunge Uwezo (LSP II) unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).

Monday, February 4, 2019

MAKATIBU WA WABUNGE MAJIMBONI WAPEWA MAFUNZO YA KUJENGEWA UWEZO

Baadhi ya makatibu wa waheshimiwa wabunge majimboni wakipatiwa mafunzo ya kujengewa uwezo.mafunzo hayo yaliyofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma yametolewa  na Ofisi ya Bunge chini ya mradi wa kulijengea Bunge Uwezo (LSP II) unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP).

Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimaliwatu kutoka Ofisi ya Bunge Ndugu Jane Kajiru akifungua mafunzo  kwa makatibu wa waheshimiwa wabunge majimboni kwa ajili ya kujengewa wa kutekeleza majukumu yao.mafunzo hayo yametolewa  na Ofisi ya Bunge chini ya mradi wa kulijengea Bunge Uwezo (LSP II) unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP), kushoto kwake  ni Mratibu wa Mradi wa LSP II Ndugu Mary Lasway

Mtaalamu kutoka Chuo cha Utumishi wa Umma , Ndugu Dorah Chenyambuga akitoa mada kuhusu utunzaji wa nyaraka, uendeshaji wa ofisi, ufuatiliaji na tathimini kwa makatibu wa waheshimiwa wabunge majimboni. Mafunzo hayo yametolewa  na Ofisi ya Bunge chini ya mradi wa kulijengea Bunge Uwezo (LSP II) unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP)