WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Wednesday, October 30, 2019

OFISI YA BUNGE YATOA MAFUNZO YA MFUMO WA BUNGE MTANDAO (E-PARLIAMENT PORTAL) KWA MAKATIBU WAKUU

Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai akiongoza mafunzo ya Mfumo wa Bunge Mtandao (E-Parliament Portal) yaliyotolewa na Ofisi ya Bunge kwa Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali hii leo Jijini Dodoma. 

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano Dr. Jim Jonas akichangia jambo kwenye mafunzo ya Mfumo wa Bunge Mtandao (E-Parliament Portal) yaliyotolewa na Ofisi ya Bunge kwa Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali hii leo Jijini Dodoma. 

Afisa Tehama wa Bunge Ndg. Said Mawenje akitoa mafunzo ya Mfumo wa Bunge Mtandao (E-Parliament Portal) kwa Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali hii leo Jijini Dodoma.

Wednesday, October 23, 2019

MHESHIMIWA JENISTA MHAGAMA AWASILISHA TAARIFA YA MUUNDO NA MAJUKUMU YA BARAZA LA TAIFA LA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI KWENYE KAMATI YA KATIBA NA SHERIA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wanye ulemavu) Mheshimiwa Jenista Mhagama akiwasilisha Taarifa kuhusu Muundo na Majukumu ya Baraza la  Taifa la Uwezeshaji Wananchi kiuchumi (NEEC) kwenye Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Jijini Dodoma hii leo.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Mheshimiwa Najma Giga akifafanua jambo mbele ya wajumbe wa Kamati hiyo walipokutana na kupokea Taarifa kuhusu Muundo na Majukumu ya Baraza la  Taifa la Uwezeshaji Wananchi kiuchumi (NEEC) iliyowasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wanye ulemavu) Mheshimiwa Jenista Mhagama Jijini Dodoma hii leo.

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria wakifuatilia kwa karibu Taarifa kuhusu Muundo na Majukumu ya Baraza la  Taifa la Uwezeshaji Wananchi kiuchumi (NEEC) iliyowasilishwa kwenye Kamati hiyo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Wanye ulemavu) Mheshimiwa Jenista Mhagama Jijini Dodoma hii leo.

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Mheshimiwa Sixtus Mapunda akichangia jambo Kamti hiyo ilipokutana kupokea Taarifa kuhusu Muundo na Majukumu ya Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi kiuchumi (NEEC) Jijini Dodoma hii leo.

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Mheshimiwa Asha Mshua akichangia jambo Kamti hiyo ilipokutana kupokea Taarifa kuhusu Muundo na Majukumu ya Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi kiuchumi (NEEC) Jijini Dodoma hii leo.

Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria Mheshimiwa Joseph Mhagama akichangia jambo Kamti hiyo ilipokutana kupokea Taarifa kuhusu Muundo na Majukumu ya Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi kiuchumi (NEEC) Jijini Dodoma hii leo.