WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Thursday, December 3, 2020

SPIKA WA BUNGE MGENI RASMI KATIKA KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA WATU WENYE ULEMAVU

Maaskari wanawake walivalia sare za vitenge walijitokeza kuandamana ili  kuadhimisha Kilele cha siku ya Kimataifa ya watu wenye ulemavu wilayani Kongwa Jijini Dodoma tarehe 3 Disemba 2020. Maadhimisho hayo yalikuwa na kauli mbiu "Si Kila Ulemavu Unaonekana" na yaliratibiwa na Chama cha SHIVYAWATA.
Waandamaji mbalimbali waliobeba mabango yenye ujumbe wa kuadhimisha Kilele cha siku ya Kimataifa ya watu wenye ulemavu wilayani Kongwa Jijini Dodoma tarehe 3 Disemba 2020. Maadhimisho hayo yalikuwa na kauli mbiu "Si Kila Ulemavu Unaonekana" na yaliratibiwa na Chama cha SHIVYAWATA.
 

 
Spika wa Bunge Mhe, Job Y. Ndugai akifurahia na wenyeji wake mara baada ya kuwasili katika 
Kilele cha Maadhimisho ya siku ya Kimataifa ya watu wenye ulemavu wilayani Kongwa Jijini Dodoma tarehe 3 Disemba 2020. Maadhimisho hayo yalikuwa na kauli mbiu "Si Kila Ulemavu Unaonekana" na yaliratibiwa na Chama cha SHIVYAWATA.

 



 

Tuesday, December 1, 2020

MAAFISA HABARI WA BUNGE WAPATIWA SEMINA YA KUWAJENGEA UWEZO

Maafisa Habari wa Bunge wakisikiliza kwa makini mada mbalimbali zilizowasilishwa na wawezeshaji katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.


 Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Kimataifa Ndg. Daniel Eliufoo (kushoto) afungua mafunzo kwa Maafisa wa Habari wa Bunge na Itifaki yatakayofanyika kwa siku nne katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar-es-salaam Dkt. RoseMarie Mwaipopo akiwasilisha mada ya masuala ya kijinsia kwa waandishi wa Habari wa Bunge katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.



Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Tumaini Dkt. Dietrick Kaijanangoma akiwasilisha mada ya namna bora ya kuandika Habari za kitasisi kwa Maafisa Habari wa Bunge katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma.