Afisa Elimu wa Ofisi ya Bunge
Mwl. Omary Machunda akitoa Elimu kwa Wageni mbalimbali waliotembelea banda la Bunge la Tanzania
katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea
katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es salaam
Afisa Habari wa Ofisi ya Bunge Ndg. Zanele Chiza akitoa Elimu kwa Wageni mbalimbali waliotembelea banda la Bunge la Tanzania
katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea
katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es salaam
Afisa Habari wa Ofisi ya Bunge Ndg. Deonisius Simba akitoa Elimu kwa Wageni mbalimbali waliotembelea banda la Bunge la Tanzania
katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea
katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es salaam
Naibu Mpambe wa Bunge (DSA) Ndg Peter Magati akitoa Elimu kwa Wageni mbalimbali waliotembelea banda la Bunge la Tanzania
katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea
katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es salaam
Afisa Utumishi wa Ofisi ya Bunge
Ndg. Twaha Said pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Kamati za Bunge Ndg. Athuman Hussein wakitoa Elimu kwa Wageni mbalimbali waliotembelea banda la Bunge la Tanzania
katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea
katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es salaam
Mshauri wa mambo ya Sheria kutoka Ofisi ya Bunge Ndg. Mariam Mbaruku pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Kitengo cha Habari Ofisi ya Bunge Ndg. Zuhura Mtatifikolo wakitoa Elimu kwa Wageni mbalimbali waliotembelea banda la Bunge la Tanzania
katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba yanayoendelea
katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es salaam
Afisa Tehama Mwandamizi wa Ofisi ya Bunge Ndg. Aziz Mussa akitoa Elimu kwa Wageni mbalimbali waliotembelea banda la
Bunge la Tanzania
katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba
yanayoendelea
katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere Jijini Dar es salaam
Sehemu ya Wageni mbalimbali waliotembelea banda la
Bunge la Tanzania
ili kujifunza kuhusu Bunge katika Maonyesho ya 42 ya Kimataifa ya Biashara ya Sabasaba