Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt.
Faustine Ndugulile akichangia jambo kwenye kikao kilichohudhuriwa na Wabunge wa
Chama cha Wabunge Vinara wa Lishe kilicholenga kuboresha Lishe Bora Wilayani
Kongwa kilichofanyika kwenye Ofisi ya Mkurugenzi wa Wilaya hiyo hii leo.
|