Mwenyekiti wa Kamati ya
kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji Mheshimiwa Mahmoud Mgimwa akifafanua
jambo mbele ya Kamati hiyo ilipokutana na Wadau mbalimbali kujadili hali ya
maendeleo katika kilimo cha Mbogamboga, Matunda, Viungo na Maua hapa nchini kilichofanyika
Jijini Dodoma hii leo.
|