Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akifungua kongamano
maalum la Viongozi wa dini la kuhamasisha sensa ya watu na makazi lililofanyika
katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam,
leo Juni 29, 2022
Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, pamoja na Spika
Mstaafu wa Bunge, Mhe. Anne Makinda wakishiriki katika ufunguzi wa kongamano
maalum la Viongozi wa dini la kuhamasisha sensa ya watu na makazi lililofanyika
katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam,
leo Juni 29, 2022