Monday, December 18, 2023
Friday, December 8, 2023
WACHEZAJI WA TIMU YA BUNGE SPORTS CLUB WASHIRIKI UFUNGUZI WA MICHEZO YA 13 YA MABUNGE YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KIGALI NCHINI RWANDA.
Wachezaji wa timu
ya Bunge Sports Club wakiongozwa na Mwenyekiti wake, Mhe. Tarimba Abbas wameshiriki katika ufunguzi wa michezo ya 13 ya Mabunge ya Jumuiya ya Afrika
Mashariki inayofanyika Kigali nchini Rwanda.
Mashindano hayo yamefunguliwa leo tarehe 8 Disemba, 2023 na Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Donatile Mukabalisa.
Huku kauli mbiu ya mwaka huu ikiwa ni kwa maendeleo, amani na Jumuiya yote ya Afrika Mashariki.
Subscribe to:
Posts (Atom)