|
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt.Thomas Kashililah akisalimiana na Mbunge wa Bunge la
Afrika Mashariki Mhe. Shy-rose Bhanji. Katikati ni Mhe. Adama Kimbisa ambaye
nae ni Mbuge wa Bunge la Afrika Mashariki. Wabunge hao walimtembelea Spika wa
Bunge ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
|
|
Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki
Mhe.Abadallah Mwinyi (kushoto) Shy-rose Bhanji (katikati) na Mhe. Adam Kimbisa
wakijadili jambo kabla ya kufanya Mazungumzo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai jijini Dar es Salaam.
|
|
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao na Wabunge wa Bunge la Afrika
Mashariki waliomtembelea ofisni kwake Jinini Dar es Salaam.
|
|
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiwa katika picha ya Pamoja na Wabunge wa Bunge la
Afrika Mashariki waliomtembelea ofisni
kwake Jinini Dar es Salaam pamoja na viongozi wengine ambao ni Wabunge pia.
|
|
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania akiagana na Mhe. Adama Kimbisa Mbuge wa Bunge la Afrika Masahriki
mara baada ya kuzungumza na Wabunge wa Afrika Mashariki jijini Dar es Salaam.
|
|
Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiagana na Mhe.
Abdallah Mwinyi Mbuge wa Bunge la Afrika Mashariki mara baada ya kuzungumza na
Wabunge wa Afrika Mashariki jijini Dar es Salaam. |
|
Katibu wa Bunge la Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. Thomas Kashililah akizungumza na Wabunge wa Bunge la
Afrika Mashariki waliomtembelea Spika wa Bunge ofisini kwake Jijini Dar es
Salaam.
|
(Picha zote na Ofisi ya Bunge)