WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Monday, February 29, 2016

WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI WAMTEMBELEA SPIKA.

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Thomas Kashililah akisalimiana na Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Shy-rose Bhanji. Katikati ni Mhe. Adama Kimbisa ambaye nae ni Mbuge wa Bunge la Afrika Mashariki. Wabunge hao walimtembelea Spika wa Bunge ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.

Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe.Abadallah Mwinyi (kushoto) Shy-rose Bhanji (katikati) na Mhe. Adam Kimbisa wakijadili jambo kabla ya kufanya Mazungumzo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai jijini Dar es Salaam.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao na Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki waliomtembelea ofisni kwake Jinini Dar es Salaam.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiwa katika picha ya Pamoja na Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki  waliomtembelea ofisni kwake Jinini Dar es Salaam pamoja na viongozi wengine ambao ni Wabunge pia.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiagana na Mhe. Adama Kimbisa Mbuge wa Bunge la Afrika Masahriki mara baada ya kuzungumza na Wabunge wa Afrika Mashariki jijini Dar es Salaam.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiagana na Mhe. Abdallah Mwinyi Mbuge wa Bunge la Afrika Mashariki mara baada ya kuzungumza na Wabunge wa Afrika Mashariki jijini Dar es Salaam.

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Thomas Kashililah akizungumza na Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki waliomtembelea Spika wa Bunge ofisini kwake Jijini Dar es Salaam.
(Picha zote na Ofisi ya Bunge)

No comments:

Post a Comment