WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, April 22, 2016

SPIKA NA WAGENI MBALIMBALI WALIOMTEMBELEA OFISINI KWAKE MJINI DODOMA

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (mwenye tai nyekundu katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa shule ya msingi Feza iliyopo Dar es Salaaam. Wanafunzi hao walikuja kutembelea Bunge.

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Korea Kusini nchini Song Geum aliyemtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma

Balozi wa Korea Kusini nchini Song Geum akimuonesha jambo Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai wakati alipomtembelea  Ofisini kwake Mjini Dodoma.

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsikiliza kwa makini Balozi wa Korea Kusini nchini Song Geum aliyemtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma. Kulia ni Mke wa Balozi huyo.

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Kenya nchini  Chirau Ali aliyemtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma.

Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akimsikiliza kwa makini Balozi wa Kenya nchini  Chirau Ali aliyemtembelea Ofisini kwake Mjini Dodoma.

Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais (Tamisemi), Seleman Jafo akiwa akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa shule ya msingi Feza iliyopo Dar es Salaaam. Wanafunzi hao walikuja kutembelea Bunge.


No comments:

Post a Comment