Waziri wa Biashara na Viwanda wa Singapore, Dkt. Koh Poh Koon na ujumbe wake, walipotembelea Bunge Aprili 27, 2016.
Waziri Mkuu wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa
Biashara na Viwanda waSingapore, Dkt.
Koh Poh Koon na ujumbe wake, Ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Aprili 27,
2016.
Waziri wa Biashara na
Viwanda wa Singapore, Dkt. Koh Poh Koon akisalimia wakati ujumbe wa Singapore
ulipokuwa unatamblishwa Bungeni na Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt. Tulia Akson (Hayupo pichani)leo mjini Dodoma.
Ujumbe wa Singapore
unaoongozwa na Waziri wa Biashara na Viwanda wakiwa Bungeni leo mjini Dodoma.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji
Charles Mwijage (wa tano kulia) , akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa
Biashara na Viwanda wa Singapore, Dkt. Koh Poh Koon (wan ne kushoto) leo mjini
Dodoma.
No comments:
Post a Comment