|
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson akisisitiza jambo kwa Mwenyekiti wa Tume ya
Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damiani Lubuva na ujumbe wake uliotembelea Bunge
ili kumkabidhi Naibu Spika Ripoti ya
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.
|
|
Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji
Mstaafu Damian Lubuva akikabidhi ripoti ya Uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 kwa
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson
Bungeni Mjini Dodoma leo mara baada ya Kuahirishwa kwa Bunge.
|
|
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu
Damian Lubuva (wakwanza kushoto)akiangalia moja ya vitabu vilivyopo kwenye maktaba ya Bunge
wakati wa Ziara ya Mwennyekiti huyo na Ujumbe wake Bungeni Mjini Dodoma leo .
|
Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji
Mkuu Mstaafu wa Zanzibar Hamid Mahamud Hamid akiwa ndani ya maktaba ya Bunge
wakati wa Ziara ya Tume hiyo Bungeni Mjini Dodoma.
|
Naibu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson (watatu kutoka kushoto) akiwa
kwenye picha ya Pamoja na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Ujumbe
wake mara baada ya ziara ya Tume hiyo Bungeni Mjini Dodoma leo.kushoto ni
Mwenyekiti wa Tume ya Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu
Damian Lubuva na kulia Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mkuu
Mstaafu wa Zanzibar Hamid Mahamud Hamid.
.
|
Mwenyekiti
wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Mstaafu Damian Lubuva (katikati)akiongoza ujumbe wa
tume hiyo kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma leo wakati wa Ziara ya kutembelea Bunge na
kuwasilisha ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 kwa Naibu Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson.