Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson akishiriki Kampeni ya kuosha Magari kwa ajili ya kuchangia Waandishi wa Habari kupata Bima ya Afya (Media car wash) iliyofanyika katika uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma ambapo alichangia shilingi milioni tano. |
|
|
|
|
|
|
Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson akisalimiana na Wachezaji wa Bunge Sports Club kabla ya kuanza kwa mechi kati yao na Wachezaji wa Mtwara Vetreran. Mechi hiyo ilifanyika Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma ambapo timu ya Bunge ilishinda goli 3-2. |
No comments:
Post a Comment