Wednesday, July 20, 2016
RAIS ALIPOGAWA MADAWATI YALIYOTENGENEZWA BAADA YA OFISI YA BUNGE KUBANA MATUMIZI
Wanafunzi wa shule ya Msingi Bunge wakipakia Madawati tayari kuyapeleka shuleni kwao baada ya Rais kuyagawa |
Naibu Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson (kulia) akimuonesha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli Madawati ili aweze kuyagawa kwa Waheshimiwa Wabunge |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua Madawati yaliyotengenezwa baada ya Ofisi ya Bunge kubana matumizi. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiendelea kukagua Madawati yaliyotengenezwa baada ya Ofisi ya Bunge kubana matumizi. |
Monday, July 4, 2016
UZINDUZI WA BUNGE LA VIJANA BUNGENI MJINI DODOMA.
Wabunge wa Bunge la Vijana la mwaka 2016, kutoka Vyuo mbalimbali vya Elimu ya Juuu wakila kiapo cha utii baada ya kuanza kwa mkutano wa tatu wa bunge hilo, mjini Dodoma. |
Subscribe to:
Posts (Atom)