WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Saturday, September 24, 2016

SPIKA WA BUNGE AMTEMBELEA KATIBU WA CCM LEO


       Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai akiwasili katika Ofisi Ndogo za CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam alipofika kuzungumza na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana .

            Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Abdulrahman Kinana alipomtembelea katika  Ofisi Ndogo za CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam.

            Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai akimsikiliza  Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Abdulrahman Kinana  alipomtembelea na kuzungumza naye katika  Ofisi Ndogo za CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam.

                Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai (katika) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi  (CCM)  Abdulrahman Kinana (kushoto)  na Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka (kulia) wakati alipomtembelea Katibu Mkuu wa CCM.



    Spika wa Bunge  Mhe Job Ndugai akiagana   na Msemaji wa CCM Christopher Ole Sendeka mara baada ya kuzungumza na Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana  katika  Ofisi Ndogo za CCM zilizopo Mtaa wa Lumumba Jijini Dar es Salaam.






No comments:

Post a Comment