Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe Job Y. Ndugai akisalimian na Balozi wa Ufaransa nchini Bi. Malika Berak aliyemtembelea
Ofisini kwake Mjini Dodoma.
|
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe Job Y. Ndugai akimsikiliza Balozi wa Ufaransa nchini Bi. Malika Berak wakati
akizungumza naye Ofisini kwake Mjini Dodoma.
|
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Job Y. Ndugai akiagana na Balozi wa Ufaransa nchini Bi. Malika Berak mara baada ya kuzugumza naye Ofisini kwake Mjini Dodoma |
No comments:
Post a Comment