WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Monday, May 1, 2017

BUNGE LAAHIDI KUZIFANYIA KAZI KWA HARAKA SHERIA ZOTE ZINAZOHUSU WAFANYAKAZI ZITAKAPOFIKISHWA BUNGENI

      Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisalimiana na Rais Wa TUCTA wakati akiwasili katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika alipohudhuria sherehe za Mei Mosi.

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akisalimiana na  Waziriwa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Ajira Vijana na Walemavu Mhe. Jenista Mhagama wakati akiwasili katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Ushirika alipohudhuria sherehe za Mei Mosi.

Rais Mhe. John Magufuli na Meza kuu wakipungia wafanyakazi wakati wakipokea maandamo katika sherehe za Mei Mosi, zilizofanyika Kitaifa mijini Moshi, Mkoani Kilimanjaro  

         Makamishna wa Tume ya Ofisi ya Bunge,Kutoka kushoto ni Mhe. Azan Zungu, Mhe. Mchungaji Peter Msigwa, Mhe. Magdalena Sakaya na Mhe. Mary Chatanda wakifatilia shamra shamra za  sherehe za Mei Mosi, zilizofanyika Kitaifa mijini moshi.

Baadhi ya Wabunge wa waliohudhuria sherehe za Mei Mosi, zilizofanyika Kitaifa mjini Moshi, Mkoani Kilimanjaro.

Mfanyakazi bora wa Ofisi ya Bunge, Bi. Lidya 
Mwaipyana (katikati) akiwa katika sherehe za Mei Mosi, zilizofanyika kitaifa mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro.

          Baadhi ya wafanyakazi wa Bunge walioshitiki sherehe za Mei Mosi, zilizofanyika kitaifa mjini Moshi, mkoani Kilimanjaro.

Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai akitoa ahadi kwa wafanyakazi na mbele ya Mhe.Rais, ya kuzifanyia kazi kwa haraka sheria zote zinazohusu wafanyakazi pindi zitakapofikishwa Bungeni katika sherehe za Mei Mosi zilizofanyika mjini Moshi.

No comments:

Post a Comment