Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu,
Mheshimiwa Mizengo Pinda (kushoto) kabla ya kuanza harambee kwa ajili ya ujenzi
wa jengo la Jumuiya ya kikristo Tanzania, katika tukio lililofanyika leo Mjini
Dodoma. katikati ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya kikristo Tanzania, Askofu Dkt.
Alex Malasusa
Spika
wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akiteta jambo na Katibu wa Bunge,
Dkt. Thomas Kashililah (kulia) baada ya kumalizika kwa harambee kwa ajili ya
ujenzi wa jengo la Jumuiya ya kikristo Tanzania, tukio lililofanyika leo Mjini
Dodoma, Pia Spika Ndugai aliongoza Wabunge katika harambee hiyo.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Mizengo Pinda (wa pili kushoto) akizungumza jambo
baada ya kumalizika kwa harambee kwa ajili ya ujenzi wa jengo la Jumuiya ya
kikristo Tanzania, kulia ni Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah, kushoto ni
Mwenyekiti wa Jumuiya ya kikristo Tanzania, Askofu Dkt. Alex Malasusa na wa
pili kulia ni Ndg. Elton Mapesa.
Waziri
Mkuu Mstaafu, Mheshimiwa Mizengo Pinda (kushoto) akiagana na Katibu wa
Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) baada ya kumalizika kwa harambee kwa
ajili ya ujenzi wa jengo la Jumuiya ya kikristo Tanzania. Katika harambee hiyo, Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai aliwaongoza
wa Bunge katika uchangiaji wa ujenzi wa jengo hilo.
No comments:
Post a Comment