SPIKA WA BUNGE AFIKA UBALOZI WA IRAN KUTOA POLE KUFUATIA SHAMBULIO LA KIGAIDI KATIKA BUNGE LA NCHI HIYO.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akisalimiana na Balozi wa Iran hapa
nchini Mousa Farhang alipokwenda kumpa pole kufuatia shambuliyo la Kigaidi katika Bunge la
nchi hiyo ambapo watu 12 waliuwawa wakimeo Wabunge 6.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai (katikati) akizungumza na Balozi wa Iran hapa nchini Mousa Farhang alipokwenda
kumpa pole kufuatia shambulizo la
Kigaidi katika Bunge la nchi hiyo ambapo watu 12 waliuwawa wakimeo Wabunge 6. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Nishati na
Madini Mhe. Dotto Biteko ambaye aliambatana na Mhe Spika na kushoto ni
Mkalimani wa Balozi huyo.
Spika
wa Bunge Mhe Job Ndugai akisaini kitabu
cha maombolezo katika Ubalozi wa Iran
kufuatia shambulizo la Kigaidi katika Bunge la nchi hiyo ambapo watu 12
waliuwawa wakimeo Wabunge 6. Kushoto ni Balozi wa Iran hapa nchini Mousa
Farhang.
Spika wa Bunge Mhe Job Ndugai akiagana na Balozi wa Iran hapa nchini Mousa Farhang
mara baada ya kumpa pole pole kufuatia shambulizo la Kigaidi katika Bunge la
nchi hiyo ambapo watu 12 waliuwawa wakimeo Wabunge 6.
No comments:
Post a Comment