SPIKA WA BUNGE AHUDHURIA HAFLA YA UZINDUZI WA MPANGO WA WIZARA YA FEDHA
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Yustino Ndugai akitoa salamu
kwa wajumbe waalikwa katika hafla ya ufunguzi wa maboresho wa sekta ya fedha kwa taasisi za umma
(PFMRP) awamu ya tano 2017/18 mpaka 2021/22 katika hafla iliyofanyika leo mjini
Dodoma
Spika wa Bunge Mheshimiwa Job Yustino Ndugai akipokea kitabu cha mpango mkakati wa Wizara ya Fedha na Mipango wa miaka mitano wa maboreshoya sekta ya fedha kwa taasisi za umma
(PFMRP) awamu ya tano 2017/18 mpaka 2021/22 katika hafla iliyofanyika leo mjini
Dodoma.
No comments:
Post a Comment