Naibu Spika, Mhe. Dkt Tulia Ackson
akiwa katika Mkutano wa Kimataifa wa Chama cha Jumuiya ya Madola unaofanyika
Mjini Dhaka, Bangaladesh. Katika Mkutano huo Naibu Spika alitoa mada kuhusu
kuwashirikisha vijana kwenye uongozi, Kulia kwake ni Naibu ni Mhe. Kazi Nabil
Ahmed, Mbunge Bangladesh, kushoto ni Mhe. Sumitra Mahjan Spika kutoka India.
|
No comments:
Post a Comment