Spika
wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kulia) akizungumza na Rais wa Bunge la Afrika, Mhe. Roger
Dang (kulia) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Wa pili kushoto ni
Naibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa
Ilala, Mhe. Mussa Zungu (kushoto) na Mwenyekiti wa Wabunge wa Tanzania
wanaowakilisha katika Bunge la Afrika, Mhe. Asha Juma (kulia)
No comments:
Post a Comment