MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA DODOMA ATEMBELEA BANDA LA OFISI YA BUNGE KATIKA MAONYESHO YA NANENANE YANAYOENDELEA JIJINI DODOMA
Afisa wa Ofisi ya Bunge, Ndugu
Partson akimuelezea Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma Mheshimiwa Profesa
Davis Mwamfupe orodha ya Maspika
waliowahi kuongoza Bunge pamoja na Kumbi zilizowahi kutumika kuendesha vikao
vya Bunge.Mheshimiwa Mwamfupe alitembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika
Maonyesho ya Nanenane yanayoendelea Jijini Dodoma.
Afisa wa Ofisi ya Bunge, Ndugu
Partson akimuonyesha Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma Mheshimiwa Profesa
Davis Mwamfupe kitabu cha viapo vya Waheshimiwa Wabunge cha miaka iliyopita. Mheshimiwa Mwamfupe alitembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika
Maonyesho ya Nanenane yanayoendelea Jijini Dodoma.
Afisa wa Ofisi ya Bunge, Ndugu
Omary Machunda akitoa elimu kwa umma kuhusiana na Bunge kwa wanafunzi wa Shule
ya Awali Taqwa wakati wanafunzi hao walipotembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika
Viwanja vya Maonyesho ya Nanenane Jijini Dodoma.
Afisa wa Ofisi ya Bunge, Ndugu
Partson akimuonyesha Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma Mheshimiwa Profesa
Davis Mwamfupe vazi la Spika pamoja na kumuelezea historia ya vazi hilo.
Mheshimiwa Mwamfupe alitembelea Banda la Ofisi ya Bunge katika Maonyesho ya
Nanenane yanayoendelea Jijini Dodoma.
No comments:
Post a Comment