Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai
akiongoza kikao cha mafunzo kwa Kamati ya Uongozi, Makamu Wenyeviti wa Kamati
za Kudumu za Bunge na Wajumbe wa Tume ya Utumishi wa Bunge. Kikao hicho
kinaendelea kwa siku ya pili katika Ofisi ya Ndogo ya Bunge Zanzibar.anayefuata
ni Spika Mstaafu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe. Pandu Kificho, Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye
ulemavu, Mhe. Jenister Mhagama, Katibu wa Bunge, Ndugu Stephen Kagaigai, Naibu
Spika, Mhe. Dkt. Tulia Ackson na Mwenyekiti wa Kamati ya Bajeti, Mhe. Hawa
Ghasia
|
No comments:
Post a Comment