Rais wa Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar, Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akizungumza na Spika wa Bunge, Mhe. Job
Ndugai. Mheshimiwa Ndugai pamoja na ujumbe wake
ambao ni wawakilishi wa Kamati ya Bunge ya Uongozi na wawakilishi wa
Tume ya Utumishi ya Bunge walikwenda kumtembelea Mhe. Shein leo Ikulu Zanzibar.
Wa kwanza kushoto ni Mhe. Oscar Mukasa, Mhe. Mary Chatanda, Mhe.Fakharia Shomar
Khamis, Mhe. Mussa Azzan Zungu na Mhe. Freeman Mbowe.
|
No comments:
Post a Comment