|
Afisa kutoka Ofisi ya Bunge, Ndugu Omary Machunda
akiwaonyesha watoto namna ya ukaaji wa Waheshimiwa
Wabunge ndani ya Ukumbi wa
Bunge, watoto hao walitembelea
Banda la Bunge katika Maonyesho ya Nanenane
yanayoendelea
Jijini Dodoma
|
Watoto waliokuja kutembelea Banda la Bunge katika Maonyesho
ya Nanenane yanayoendelea Jijini Dodoma wakifurahia kubeba SIWA ya mfano baada
ya kutembelea Banda hilo kwa ajili ya kupata elimu kuhusiana na masuala
mbalimbali yanayohusu Bunge.
|
Afisa kutoka Ofisi ya Bunge, Ndugu Partson Sobha akitoa elimu
kwa umma kuhusiana na historia ya Bunge kwa wanafunzi
waliokuja kutembelea
Banda la Bunge katika Maonyesho ya
Nanenane yanayoendelea Jijini Dodoma.
|
|
Afisa kutoka Ofisi ya Bunge, Ndugu Omary Machunda
akiwaonyesha wanafunzi kiti ambacho kimewahi kutumiwa na
Maspika mbalimbali,
wanafunzi hao walitembelea Banda la
Bunge katika Maonyesho ya Nanenane
yanayoendelea Jijini
Dodoma.
|
No comments:
Post a Comment