WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Friday, January 11, 2019

KAMATI YA MASUALA YA UKIMWI IKIWA KATIKA KIKAO JIJINI DODOMA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda  na Kimataifa, Dkt. Damas Ndumbaro akiwasilisha Taarifa ya Wizara yake kuhusu Utekelezaji wa afua za UKIMWI mahali pa kazi kwa wizara na namna inavyoshirikiana na Mataifa mengine katika mapambano dhidi ya madawa ya kulevya katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI, Mhe. 

Oscer Mukasa akiongoza kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika 

katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Masula ya UKIMWI, wakiwa

 katika kikao kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. 

Kamati hiyo ilipokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya Mambo ya 

Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa 

kuhusu Utekelezaji wa afua za UKIMWI mahali pa kazi kwa 

wizara na namna inavyoshirikiana na Mataifa mengine katika 

mapambano dhidi ya madawa ya kulevya

No comments:

Post a Comment