Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akiagana
na Mbunge wa Misugwi Mhe. Charles Kitwaga katika Uwanja wa Ndege wa Jijini
Dodoma kabla ya kusafirishwa kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa
matibabu zaidi. Kulia kwa Spika ni Naibu wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya
Makazi Mhe. Angelina Mabula na kushoto kwa Spika ni Katibu wa Bunge Ndg.
Stephen Kagaigai.

No comments:
Post a Comment