TAASISI MBALIMBALI ZA ELIMU ZAENDELEA KUFANYA ZIARA ZA MAFUNZO BUNGENI
Wanafunzi na Walimu wa Shule ya Msingi Feza ya Jijini Dar
es Salaam wakiwa katika Jukwaa la Wageni Bungeni wakifuatilia mijadala ya Bunge hii leo
Jijini Dodoma ikiwa ni sehemu ya Ziara yao ya Mafunzo Bungeni.
Wanafunzi wa Shule ya Msingi Feza ya Jijini Dar
es Salaam pamoja na Shule ya Sekondari Mtera Dam ya Dodoma wakiwa katika Ukumbi
wa Msekwa wakipata Elimu kwa Umma kutoka kwa Maafisa wa Bunge ikiwa ni sehemu
ya Ziara yao ya Mafunzo Bungeni.
Wanafunzi na Walimu wa Shule ya Msingi Feza ya Jijini Dar
es Salaam pamoja na Shule ya Sekondari Mtera Dam ya Dodoma wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukamilisha Ziara yao ya Mafunzo Bungeni Jijini Dodoma hii leo.
No comments:
Post a Comment