WELCOME TO TANZANIA NATIONAL ASSEMBLY OFFICIAL BLOG: CONTACT US: P.O.BOX 941 DODOMA, TANZANIA, WEBSITE: parliament.go.tz , FIND US ON FACEBOOK >>> www.facebook.com/bungetz1, FOLLOW US ON TWITTER >>> @bunge_tz.>>>KARIBUNI

Wednesday, May 29, 2019

KAMATI YA MIUNDOMBINU YAFANYA TATHIMINI YA MIRADI WALIYOIKAGUA

Wajumbe wa Kamati ya Miundombinu wakiwa katika kikao cha kufanya ya tathimini ya utekelezaji wa ziara za kukagua miradi zilizofanywa na Kamati hiyo katika kipindi cha mwaka 2018/2019 kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.


Katibu wa Kamati ya Miundombinu,Hosiana John akisoma taarifa ya tathimini ya utekelezaji wa ziara za kukagua miradi zilizofanywa na Kamati hiyo katika kipindi cha mwaka 2018/2019 kkwenye kikao cha kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Miundombinu, Mhe. Moshi Kakoso akizungumza katika kikao cha kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma, Kamati ilikutana kwa ajili tathimini ya utekelezaji wa ziara zake za kukagua miradi kwa mwaka 2018/2019.

Wajumbe wa Kamati ya Miundombinu wakiendelea na katika kikao

No comments:

Post a Comment