Mheshimiwa Andrew Chenge akichangia jambo katika Semina ya Kupitia
Mfumo wa Kisheria na Kisera kuhusu masuala ya Kijinsia na Jinsi katika
shughuli za Kibunge iliyofanyika kwenye Msekwa Bungeni Jijini Dodoma hii
leo. Semina hiyo imehudhuriwa na Wajumbe
wa Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii,
Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama,
Kamati ya Viwanda, Biashara na
Mazingira, Kamati ya Miundombinu, Kamati ya Kilimo, Mifugo na Maji na Kamati ya
Sheria ndogo.
|
No comments:
Post a Comment