Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kushoto) akiongozana na Spika wa Bunge la Rwanda,
Mhe. Mukabalisa Donatille alipowasili leo katika uwanja wa ndege wa Mjini
Dodoma. Kulia ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson
Monday, June 10, 2019
SPIKA WA BUNGE LA RWANDA ATEMBELEA BUNGE LA TANZANIA
Spika wa
Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akizungumza na Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa
Donatille Ofisini kwake Jijini Dodoma mapema leo wakati Spika huyo wa Rwanda akiwa
ameambatana na Wabunge wawili walipoanza ziara ya siku tatu ya kutembelea Bunge
la Tanzania.
Spika wa
Bunge, Mhe. Job Ndugai akimkaribisha Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa
Donatille katika meza yake wakati alipomtembeza katika Ukumbi wa Bunge Jijini
Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akimueleza jambo Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe.
Mukabalisa Donatille wakati alipomkaribisha kukaa katika kiti chake cha Uspika ukumbi
wa Bunge Jijini Dodoma.
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la
Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille ndani ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.
Spika wa
Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa
Donatille pamoja na Naibu Spika, Mhe. Dkt. Tulia Ackson wakati wa ziara ya
Spika huyo wa Rwanda katika Bunge la Tanzania.
Spika wa
Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza na Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa
Donatille pamoja na Naibu Spika, Mhe. Dkt. Tulia Ackson wakati wa ziara ya
Spika huyo wa Rwanda katika Bunge la Tanzania.
Spika wa
Bunge (wapili kulia) akizungumza wakati wa kikao kati ya Wajumbe kutoka Bunge
la Tanzania na Wajumbe kutoka Bunge la Rwanda wakiongozwa na Spika wa Bunge hilo
Mhe. Mukabalisa Donatille (wa pili kushoto) Jijini Dodoma.
Spika wa
Bunge, Mhe. Job Ndugai (kulia) akimkabidhi picha ya Jengo la Bunge Spika wa
Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille Ofisini kwake Jijini Dodoma.
Spika wa
Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille akifurahia jambo na Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson wakati wa
ziara yake katika Bunge la Tanzania.
Spika wa
Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille akifurahia jambo na Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson wakati wa
ziara yake katika Bunge la Tanzania.
Spika wa
Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille akifurahia jambo na Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson wakati wa
ziara yake katika Bunge la Tanzania.
Spika
wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa pili kulia),
Spika wa Bunge la Rwanda, Mhe. Mukabalisa Donatille (wa tatu kulia), Naibu
Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (wa nne kulia), Katibu wa Bunge, Ndg.
Stephen kagaigai (kulia), Waheshimiwa Wabunge na watumishi wa Ofisi ya Bunge wakifurahia
ngoma zenye asili ya kigogo baada ya kumpokea Spika wa Bunge la Rwanda katika
katika uwanja wa ndege wa Mjini Dodoma.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment