Mshauri
wa Masuala ya Sheria wa Bunge Ndg. Mosi Lukuvi
akitoa maelezo ya uchambuzi wa Muswada
wa Sheria ya Serikali
Mtandao 2019 (The
e-Gvernment Act 2019),kwa Kamati ya
Utawala na Serikali za Mitaa,Jijini
Dodoma. Kulia ni Makamu
Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mheshimiwa
Mwanne Nchemba na
katikati ni Katibu wa Kamati hiyo Ndg. Chacha Nyakega.
|
No comments:
Post a Comment