Wajumbe wa Kamati ya Bunge Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya wakiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mkoa Mhe. Mrisho Gambo walipomtembelea ofisini kwake leo Machi 4 |
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya wakifuatilia kwa makini uwasilishwaji wa taarifa ya Gereza Kuu Arusha. |
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya Mhe. Oscar Mukasa atembelea Gereza Kuu la Arusha na kupokea taarifa ya hali ya wafungwa wanaoishi na virusi vya Ukimwi. |
No comments:
Post a Comment