Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza hafla ya
makabidhiano ya Kompyuta 20 alizozitoa kwa Halmashauri ya Wilaya ya Kongwa kwa
ajili ya shule za sekondari za Wilaya hiyo, kushoto ni Mkurugenzi wa Elimu
TAMISEMI, Ndugu Julius Nestory na kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kongwa
aliyemaliza muda wake Ndugu White Zuberi.Hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za Halmashauri
ya Wilaya ya Kongwa.
|